Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha.............bahati mbaya umeshatolewa Posa na Mwenye Nchi (Kantri) hivyo hatuwezi kurudisha 😜
😂😂😂 Babu umeanza kuharibu sasa!! Mimi niko single ready to mingle. Nipasie pasi ya mume kutoka bush
 
Koh Koh Koh ..........hii Kiko ya leo Kali sana Mjukuu 🤗

Ngoja niende nikacheze bao na Wazee wenzangu hapo barazani 😜
😂😂😂😂 Babu huna baya km Aziz Ki vile unavyopiga mashuti kina bibi
 
Dak za jiooooni kabisa,,,sura nenda google umeona mshale huo lakin 😂😂😂yaani T 3 zote sina

no titi
no tumbo
no tako😂😂🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️

Npo shamba
😍😍😍😍😍 chuma hiko, mtoto potabo, easy to carry 😘💋💋💋
Kaka alijua ku point hapa!! Wifi ninaye na natamba naye 🤸‍♀️
 
😂😂😂 Babu umeanza kuharibu sasa!! Mimi niko single ready to mingle. Nipasie paso ya mume kutoka bush
Hahaha.............Vijana wamekusikia, ila for their advise wakijichanganya litawakuta jambo 😜
 
Back
Top Bottom