Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,469
- 95,992
Hahahahaha...ule ushapita Rafiki au ndio unataka kuutumia? Halafu usikute ulikuwa unakuhusu , ukqpotezeqOooooh umenifanya nikautafute ule wako,wa habari gani,nijidedicate!π
Ule bado unaishi!mi ni wangu uleHahahahaha...ule ushapita Rafiki au ndio unataka kuutumia? Halafu usikute ulikuwa unakuhusu , ukqpotezeq
Hahahahaha kama ni wako uchukue haina tatizoUle bado unaishi!mi ni wangu ule
jua lime akisi vyema dada
Mwamba Huyu hapa!πππͺπͺ
Hahaha.......... that's real interestinglyNipo town mzee wangu ,uwa narudi kijijini nikimaliza mshahara wote π
Hivi si tulikubaliana mpira ni dhambi Mjukuu π
Basi babu situmii tena, sitaki utesekeHivi si tulikubaliana mpira ni dhambi Mjukuu π
Kweli hii miaka mitatu mmeamua kututesa mtaniπ
Nashukuru kujali afya zetu Wazee, maana Presha iliishaanza kupanda hapa πBasi babu situmii tena, sitaki uteseke
Sawa kabisa ,karibu tena ndugu .Hahaha.......... that's real interestingly
Unanikumbusha Mwaka 47, mmoja wa co-worker ofisini kwetu aliyekuwa na tabia kama yako
Ilikuwa akiondoka tarehe 30 basi kurudi ofisini tena ilikuwa baada ya Siku 8 hivi tangu mshahara utoke, na akirudi hawi hata na mia mbovu ππ
Nikirudi tena nitakucheki, ngoja nikawasalimie ndugu zetu Wagogo π€
mashallah πππβ€οΈβ€οΈ
Ingawa bado siku moja mwezi kuisha ila kushukuru tu.
Hakika.....I
Ingawa bado siku moja mwezi kuisha ila kushukuru tu.
Without the mercy and grace of God hatutoboi!
Swadakta