Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,524
- 203,278
😂😂 Ni ndoruma au nduruma? Hapo panaitwa ‘lake dulutiHapa ndio mto ndoruma? 🤗🤗
😂😂 Ni ndoruma au nduruma? Hapo panaitwa ‘lake dulutiHapa ndio mto ndoruma? 🤗🤗
Mkuu hujaisave?Umejua kuibless alasiri yangu na mguu mzuri kabisa wa bia na kaupaja kanachungulia kwa mbaaali so sexy 😍
Sasa umeahirisha mpaka mgeni afike au umeenda kununua kabisa ufagio wako mwenyewe??🙄Umenifanya niamke haraka sana nikimbie kwa jirani kuomba mfagio nifanye usafi kwa mapokezi ya mgeni
🤣
One wayyyyyyyy mgeni !
Hapa kwetu uswahili tumezoea hata sukari tunapeana, Ondoa shaka mgeni kila kitu kimeenda sawa .Sasa umeahirisha mpaka mgeni afike au umeenda kununua kabisa ufagio wako mwenyewe??🙄
Ndo nalipia 🎫 hapa!!!😎
Baadaye usipitwe mwenyekiti!!Naomba uibless asubuhi yangu iende vizure zaidi katibuuu!!
Ndugu mjumbeSasa umeahirisha mpaka mgeni afike au umeenda kununua kabisa ufagio wako mwenyewe??🙄
Ndo nalipia 🎫 hapa!!!😎
Ntakutumia selfie nikiingia tu kwa 🚌 😎Hapa kwetu uswahili tumezoea hata sukari tunapeana, Ondoa shaka mgeni kila kitu kimeenda sawa .
Nakusubiri,navunja safari zote sababu yako mgeni..!
Uniambie muda wa kufika maana ninahamu ya kiwango cha juu na huu ugeni .
Unapika na mboga gani???Ndugu mjumbe
Mambo hebu nitoe ushamba haya macaroni ni matamu kabla sijaharibu mambo
Sijapata selfie yeyote toka kwako hadi sasa,nakutwangia simu sitaki mchezo kabisaaaaa!🤣Ntakutumia selfie nikiingia tu kwa 🚌 😎
Please zingatia mgeni anapenda sana TV, kula na kulala. Kama inabidi abadilike kuendana na mazingira basi arudishe zake nguo kabatini, maana hata majirani wanaweza wasimpende sana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sijapata selfie yeyote toka kwako hadi sasa,nakutwangia simu sitaki mchezo kabisaaaaa!🤣
Usirudishe viwalo tafadhali maana nimekopa pesa ya runinga na chakula miezi 3 sababu yako,ubebe kila kilicho chako maana napenda sana wageni.
Niko hapa katibuu do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Baadaye usipitwe mwenyekiti!!
Sijapika mwaya Bado nawaza nisije kulala njaa nitajaribu 😂😂Unapika na mboga gani???
Binafsi nayapenda sana!!!!🤤
Hayana tofauti na 🍝 ...ila ka-sauce flani hivi ka mincemeat, meatballs au nyama ya kawaida inahusika sana!!!
HahahahahaMimi huyo towash wa kushi, nimetokelezea wadau au?
View attachment 2997000
Mwenyekiti upo??Niko hapa katibuu do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Saivi nipo katibuuu fanya manuvaaaa Usiku wangu uwe baridaaaa!Mwenyekiti upo??
Saivi nipo katibuuu fanya manuvaaaa Usiku wangu uwe baridaaaa!Mwenyekiti upo??
Usitoke✋🏽Saivi nipo katibuuu fanya manuvaaaa Usiku wangu uwe baridaaaa!