MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,316
- 25,452
Babu nimejichanganya namaanisha kupata ngwengwe muda mwingine sio kufanya peku Ila Kuna kazi n risk tu kwakuzifanya kupata ngoma n kugusaKazi zipi Mkuu ambazo ukifanya ngono peku hupati HIV/AIDS?
Kupekua maambuzi ni kutokuwa na Wapenzi wengi/kutokufanya ngono zembe n.k