Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,857
😂😂😂 ushakuwa mchagga eeWallah🤣.
Na mvua hizi nani anataka kunuka ubongo maana kila siku nywele zitakuwa zinanyeshewa na mvua tu🤣🤣🤣. Mambo ya kusuka 40k halafu halafu after two days unafumua na hizi mvua wala sitaki sina pesa za mchezo🤣🤣🤣