raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,819
- 36,790
Ebhanaeeeee duh 🔥🔥🔥🔥
Ebhanaeeeee duh 🔥🔥🔥🔥
🤣🤣🤣Wazee wa humu hamchelewi kuchomoa betri muda wote
Mudawote mko battery low 😂😂
NdiyooWakuu na sisi wageni tuna ruhusiwa ?
Sikuamini 😂😂😂Nilisuka mara moja tu nilikuwa na event fulani hivi. Hapa nina short hair😂
Haya weye wakalia wapi Kule Pemba? Wakalia Dole au wakalia Miembeni?Mimi mpembaa
Asante Sana ngoja nami niweke kapicha.Ndiyoo
Yaan acha na hiz El Nino😀😀Na venye lina masaji masaji kimtindo lazima azitoe 🤣
Nimeona leo ka kitu kazuri ngoja nikufowadie
Wallah🤣.Sikuamini 😂😂😂
😂😂😂Hawana vifua🤣🤣🤣
Umetulia mwenyew
Siku nikijua kucheza PS sijui kama nitakuwa natoka nje 🤣🤣
Friji hazina compressor 🤣🤣😂😂😂Hawana vifua
hahaha, pad ya 2 hiyoo. Ps ni nzuri mnooSiku nikijua kucheza PS sijui kama nitakuwa natoka nje 🤣🤣
naamUmetulia mwenyew
Muambie Binti macho airudie basi.Body kinanda.
Endelea kula mpk tuone tumbo
Umeacha tena kusuka? 😂😂 usije sahv kuniomba ushauri
hazigqndishi hata Yani 😀😀😀Friji hazina compressor 🤣🤣
selfika wewe ndio nimuiteMuambie Binti macho airudie basi.