AsanteOooh tisha sana
Wa mjini Daslama wakaribieUmeona eeh na wewe atupe location!utasikia Dodomaπ
π€£π€£π€£π€£Au sio?na Shabiby au na usafiri Gani?Hahahahaha..Dodoma tunaenda
Hahahahaha..shabiby tutachelewa..tunaenda na sgr au njiwa wa ankoπ€£π€£π€£π€£Au sio?na Shabiby au na usafiri Gani?
Kwa Dodoma Shabiby hana mpinzaniAu sio?na Shabiby au na usafiri Gani?
Kwani sgr haijaanza kazi ?Kwa Dodoma Shabiby hana mpinzani
Apande gari pendwa Shabiby line
Mwezi ujao sijuiπ€π€nauli ni sabini elfu Hela..Kwani sgr haijaanza kazi ?
Nyie bwana mmekariri,Mimi nitapanda Scania Katarama ya rockcity itanidrop hapoπKwa Dodoma Shabiby hana mpinzani
Apande gari pendwa Shabiby line
KaratamaππππNyie bwana mmekariri,Mimi nitapanda Scania Katarama ya rockcity itanidrop hapoπ
EwaaKwani sgr haijaanza kazi ?
HahahahahaEwaa
Panda hiyo fasta
Usafiri wa kishua
Hahahahaha..elf sabini tuMwezi ujao sijuiπ€π€nauli ni sabini elfu Hela..
Nina ugonjwa tu wa kucheka ovyoDogo mshamba_hachekwi mbona umecheka? nimemnunulia shemeji yako hiyo saa au nimepigwa?
Pole mdogo wangu...Nina ugonjwa tu wa kucheka ovyo
Ety including muuliza swali...Mbona sisi wanawake hapo vyote vinakua under control including muuliza swali...
Hapana ndo ukweli huo..au picha yake alimaanisha nini? Au mkewe mjamzito anashindwa kufanya kazi...πππEty including muuliza swali...
Nimecheka mno ahahahah
Haya mambo haya mpaka yakukute mkuu