mapema
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 962
- 3,010
Location amazing sana, ipo wapi hii mkuu?Jack Palladino karibu 😊😊😊
Location amazing sana, ipo wapi hii mkuu?Jack Palladino karibu 😊😊😊
Cape Town Fish Market ya Zanzibar mkuuLocation amazing sana, ipo wapi hii mkuu?
Daaah! I wish ingekuwa dar, sina wazo la kufika Zanzibar kwa namna yoyote.Cape Town Fish Market ya Zanzibar mkuu
Dar ipo pia mkuuDaaah! I wish ingekuwa dar, sina wazo la kufika Zanzibar kwa namna yoyote.
Mbn dar ipo...jongea tu maeneo ya msasani paleDaaah! I wish ingekuwa dar, sina wazo la kufika Zanzibar kwa namna yoyote.
Wahoo! Thank!Dar ipo pia mkuu
Ngoja wikiendi tukaoshe macho kidogo, asante.Mbn dar ipo...jongea tu maeneo ya msasani pale
Hahahahaha...safi sanaNgoja wikiendi tukaoshe macho kidogo, asante.
Iko wapi hii kata
Sasa leo si ndio siku nzuri...kwanza Off....pili tarehe inaruhusu [ maokoto ] tatu ..sababu ya kutoka nyumbani iko....kwann usitafute mtu mkae uchi..mcheze cheze kdg kidali ..jioni mnarudi zenu kimya kimya ..na tisheti zenu za Mei Mosi ..kama Tughe au Talgwu wewe tuMWEZI HUU MAY KUNA WATU WAMESHAFANYA MAPENZI🫣🫣🫣🫣
Kiwalani mojaIko wapi hii kata
Duh...sijawahi kufika huko ..napasikia tu..panafananajeKiwalani moja
Mahondaw 😊🔥🔥🔥🔥🔥Muwe na Meimosi njema wapendwa!