Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,999
- 35,453
Babuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2772][emoji2772][emoji2772]Nimewahi kupita kwenye hayo mabanda ya CCM mara mbili hivi kupata yale mambo yetu
Sijui wanatumia viungo gani kuchanganya, maana inakuwa laini kufanya hadi Wazee tuweze kutafuna hadi mifupa [emoji847]