Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Vaa sweta twende 😂😂
Me hapa nimevaa mpk soksi,, baridi imetaradadi kinyama
Umeona skaff hiyo najitanda
Halafu mwezi wa sita Nina safari ya arusha ngoja niandae masweta ya kutosha
 
Yah. Kama huna sweta baridi kava shingo na skafu, miguu soksi. Maisha yanakuwa mepesi

Hivi June si ndo ile inakuwaga mpk ukungu. Baridi baridi hapaeleweki yan
 
Au nikija naanzia tengeru hapo masweta kama yote
 
Mnangangania kukaa dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huu mji una laana...

Nilikuwa nimepiga hesabu nipite njia ya makumbusho kwenda posta then niende kariakoo
Jana naona taarifa ya habari,daraja la salenda sijui sehemu imetitia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nisije kupita ndio tukawa mbuzi wa kafara tukashuka nalo.

Leo njia ya uhuru haipitiki,hizo sherehe za muungano taifa huko.

Ni hatari.. utadhani tupo kipindi cha Nuhu.
 
Aiseee unatokea wapi? Labda ungepita ya magomeni ili uingilie karume
 
Hiyo ya magomeni kwenda karume
Na ya Buguruni nadhani ndizo njia zilizobakia
Ila sasa leo zitakuwa na jam balaa maana huko taifa si ndio kuna maadhimisho ya sherehe za muungano.

Labda kesho angalau.

Mie nipo maporini Mbezi .
 
Hameni huko [emoji1787]
Lina laana hili jiji
Mimi kuna mzigo wangu nafuata mjini niondoke zangu
Kasheshe kufika huko posta..
Sijui nizungukie Toangoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sitaki njia yenye maji kabisa
Uwezo wa kuvuka maji nimejitwika mizigo siwezi.
 
Hiyo ya magomeni kwenda karume
Na ya Buguruni nadhani ndizo njia zilizobakia
Ila sasa leo zitakuwa na jam balaa maana huko taifa si ndio kuna maadhimisho ya sherehe za muungano.

Labda kesho angalau.

Mie nipo maporini Mbezi .
Kama hamna umuhimu bora usitoke maana unaweza hata usifanikishe ukichofata
Plus tope la kkoo
 
Lina laana hili jiji
Mimi kuna mzigo wangu nafuata mjini niondoke zangu
Kasheshe kufika huko posta..
Sijui nizungukie Toangoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sitaki njia yenye maji kabisa
Uwezo wa kuvuka maji nimejitwika mizigo siwezi.
Hahahahaa tuangoma unafikaje 🤣🤣
 
Back
Top Bottom