Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kunijia PM na I'ds mpyaa, ili mnichokonoee sitakiiii!!

Unafikii sio shida zanguu, mie huwaga namalizaa hapa hapa wazi na umma unaonaa!! Cna mudaa wa kumzungumzia mtu mafichonii.
Sina hulka hiyo kwanzaa!!!
Oyooooo!! Waambie waje waselfike waache majungu.!! Mbona issue km hizi tunafunguka hapa hapa jomoooniii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asiyekubali kuachika ni yeyee, aliyekua ana haha JF nzimaa, em atuachee bhana, afu mbona anatafutaa vita kwa nguvu mnoo?

Hasira za kutopewa I4n akamalizie huko, mie sitakiii bhana.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ etiiii 14 nini??
 
Kwahiyo pamoja na kutoa bil 20 bado mnamlaumuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] etiiii 14 nini??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I4n ipi nzurii,? nzuri ni latest version, chukua 14pro.
Kheeeh muda unapita hollah, kuuliza unachojibiwaa unabakii kusema "bhaghoshaaaaa"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I4n sio makalio kwamba kila anayetembea kwa miguu miwili anayo, woiiiiih
 
Oyooooo!! Waambie waje waselfike waache majungu.!! Mbona issue km hizi tunafunguka hapa hapa jomoooniii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shangaa wee uduguu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nina kumuhe muhe na mja, niache kumvagaa hapa, niende mafichoni?
Mbona sijafikia hatua hiyo kabisaaa!!!
 
Shangaa wee uduguu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nina kumuhe muhe na mja, niache kumvagaa hapa, niende mafichoni?
Mbona sijafikia hatua hiyo kabisaaa!!!
🀣🀣🀣🀣🀣 mambo hadharani hatutaki kona kona
 
🀣🀣🀣🀣 kwahiyo waja wanaziba kitobo bure!! Sijapentraaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…