Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Halafu cha kushangaza ukiwachunguza ndio wateja wao wakubwa hao vidampa
Na wengine wanawaforce KE wawafanye vidampa!! Yani men wanafki sana sijui kwann?? Kuna mwanaume mmoja anakwambia sitembei na vidampa ila mwanamke ni sawa kumfanyia hivo!! Sasa unajiuliza huyu mzima kweli??
miwanaume ya bongo minafikii balaaa,
Kutwaa kuranda kutafuta vidampaa, ila public inajifanya haitakiii.

Mingine utaisikia "wanawake wanaumiza hawana mapenzi ya kweli" ujue kuna kidampa anapigwa hapo akunjwe 7 muhuni apite hivii.

 
Salama lakini?
Wee modes kuniban ili nisitoe duku duku langu ndo nn? Mbona wengine walitoaaa? Ko mie siruhusiwiii kutoa yangu?

Nasemajeee, siku nikitibukaaa, nayamwagaa hapa yoteeee!!
Tena habarii nakupaa na ikufikieee, tena iweke kwenye jalada kabisaaa.

Habari ndo hiyoo, unataka ndo hivyoo, hutakii ndo hivyoo!!!
 
Back
Top Bottom