Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,524
- 203,271
Peaky blinders 😂😂😂😂 umehama uzi kabisa?
Haha Lazima tujikaze ila mioyoni tunaumia 😌😌Kuna wamathimba wanajiona don't care
Eti hawajali![]()
SawaSuper tall we hujioni?? Nikitupia nakushtua tulia kwanza kuna issue nafanya 😀
Tabu za nini?Haha Lazima tujikaze ila mioyoni tunaumia 😌😌
Hivi kwani active alikkataza nini?Na Active anautembelea kila dk 3
Fanyeni aliyokataza awalipue
Sitaki heka heka mie. Nimeokoka 🤣🤣🤣
Upaja wote huo ni wako mnywani🎵Shindo langu mimi mjikusanye wotreeeee!🎵
Muwe na mchana mwema wapendwaaa see you when you see me 🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒!
Aahh wapi tutakomaa na simba yetu mpaka ituue kwani wakati sisi tunachukua ubingwa Misimu minne mfululizo ninyi mlihamia huku, uzuri wa hizi timu zetu bhana mashabiki huwa tunapokezana muda wa kulia na kucheka, kwahiyo hata sisi muda wetu wa kucheka tena utafika tu 😊😊Tabu za nini?
Hamia Yanga wananchi mbele daima
Salama lakini?
Cazeee km cazeee!!![]()
![]()
![]()
Kumbe upoCazeee km cazeee!!![]()
Hatimaye umetoka kifungoniHivi kumbe mi ndo kubwa la maadui?? 🤣🤣🤣
Nkamu uzi umerudishiwa uzima
Ndio atakusundikiza kuja huku shamba ijia ufuta😍😍😍😍 ila bina wa motro
Toto super tall, limeenda hewani. Twiga wetu wa selfika 🥰🥰🥰🥰
Mama kazaa, Mungu kaumba.!
Hao mashangazi mmojawapo ni mimi Ole wako sasaKuna sehemu nimekutana na mishangazi inakula kitimoto mixer windhoek..ngoja niifotoe vzr
I know,😁🤣🤣🤣 tunaongea kwa code sis
Sawa,Bora tu kama hamkatazi kula vitu vitamu vitamu nitafanya tu hayo mazoeziKaribu sana, ila huku huwa tunafanya mazoezi siku moja moja...😵
Ukute Hadi mods wenyewe walikuwa bored Uzi umepooza wakaona wamrudishe mkuu wa M23,si unajua mambo wanayopenda mods😁Hivi kumbe mi ndo kubwa la maadui?? 🤣🤣🤣
Nkamu uzi umerudishiwa uzima
Nimetoka bff wangu 🤣🤣🤣🤣Hatimaye umetoka kifungoni
Weee kweli?? 🤣🤣🤣🤣Ndio atakusundikiza kuja huku shamba ijia ufuta
Karibuni sana,
Sawa jirani yake nduli dada 🤣🤣🤣I know,😁
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌 Niliyechafuka minyota yangu beganiUkute Hadi mods wenyewe walikuwa bored Uzi umepooza wakaona wamrudishe mkuu wa M23,si unajua mambo wanayopenda mods😁