Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,268
- 87,054
ππππ kabisaa niachilie code zote peupeeeIli ulewe uje kuchekea huku bila code sio ππ
ππππ kabisaa niachilie code zote peupeeeIli ulewe uje kuchekea huku bila code sio ππ
Shower gel na kucheka haviendani udugu π€£π€£π€£π€£Utelezeee unapiga nyetoo? Kuwa mlenda unamwagikia sakafuni?
![]()
vidampa hawachelewi kuruka sarakasi vipira vikaelea juu!!
Kuna siku nilipishana na kidampa nikawa namtazama wee asinitingishie ngongingo na ushuzi juu kaniachia![]()



ila uduguu, unajua kuna vidampaa wamepindaa??



ππππ dah! Sasa yote hayo ya nini?? Kuna watu wana mambo ya hovyo.! Kidampa wa watu alitia huruma maskini π€£π€£π€£ila uduguu, unajua kuna vidampaa wamepindaa??
Kuna siku nilikua ubungo plaza kule ndani floor ya 2, sasa kuna kidampa cjui alikua ana msubiri jamaa ake, sasa hakutokea.
Asianzee kuropokwaaaa?? Alitoa mineno mizito mizito, huku anatokaa, baadae watu wakaanza kusema "kaletwa kuchoreshwaa tyuu"
Kuna mdada alidakia " ila sio vzuri km mtu umuhitaji wann umsumbue na kumdhalilisha hivi si umuache"
Nilimpenda yule dada,
Ila kidampa alijua kubwataaaa, khaaaaah afu hata haogopiii. Lol
Km shawaa ππππshawa jeli km jeli shawaa.
dah! Sasa yote hayo ya nini?? Kuna watu wana mambo ya hovyo.! Kidampa wa watu alitia huruma maskini
Sema vidampa hawana nouma na watu labda umuanze wewe kumletea kwere, kuna mmoja alikuwa ananipenda ananiita dada basi akienda kwao akirudi ananiletea zawadi mwenyewe. Mpole na mtaratibu hafu lizuri likiongea km halitaki lina kithethe.!!
Siku nilijua km kidampa machozi yalinitoka ila wala sikumuonyesha tofauti, alinisimulia story yake iliniumiza..!!![]()



vidampa wanakua na royal sana, c unajua wanaogopa kutengwa na kunyanyaswaaa!!! Wanakua na fadhira mnoo.




vidampa wengi wana sad story huko nyuma. Ni wa kusamehewa tyuuu.Halafu cha kushangaza ukiwachunguza ndio wateja wao wakubwa hao vidampa π€£π€£π€£π€£vidampa wanakua na royal sana, c unajua wanaogopa kutengwa na kunyanyaswaaa!!! Wanakua na fadhira mnoo.
Sema miwanaume ya Bongo mikorofiii ikiona ina ugumu wa maisha, pesa haina bas inatafuta mtu wa kumtulia shida zake ili awe ahueni ndo anachokoza vidampaa, roho yake inatuliaaaa.
vidampa wengi wana sad story huko nyuma. Ni wa kusamehewa tyuuu.
Mi mpenzi msikilizaji tu mlongo wanguπwee vidampaa utawawezaaa? Wana varangati hao.
Tuko vitengo tofauti.Dr mbona wanga mtupu,wewe sio kama Dr Janabiπ?
ππDr nitachagua kutibiwa kwenye kitengo chako.Tuko vitengo tofauti.
π
Mna mambo nyie,eti VIDAMPAπHalafu cha kushangaza ukiwachunguza ndio wateja wao wakubwa hao vidampa π€£π€£π€£π€£
Na wengine wanawaforce KE wawafanye vidampa!! Yani men wanafki sana sijui kwann?? Kuna mwanaume mmoja anakwambia sitembei na vidampa ila mwanamke ni sawa kumfanyia hivo!! Sasa unajiuliza huyu mzima kweli?? πππ
HeeNkamu niofwee kwanza em





Mod hawachelewi kutuunganishaNimepita tu kusalimia; kabla sijaishia kuunganishwa na maharamia
Happy New year![]()
Angalau waasi wamerejeaHuu usi kwa sasa utaanza kuchangamka![]()
wewe lamomy naomba picha yako nimetokea kukufananisha muandiko na id fulani! usiponitumia namwaga manyanga hapahapa sina jambo lakupoteza!..πHalafu cha kushangaza ukiwachunguza ndio wateja wao wakubwa hao vidampa π€£π€£π€£π€£
Na wengine wanawaforce KE wawafanye vidampa!! Yani men wanafki sana sijui kwann?? Kuna mwanaume mmoja anakwambia sitembei na vidampa ila mwanamke ni sawa kumfanyia hivo!! Sasa unajiuliza huyu mzima kweli?? πππ
Haramia msaidizi kumbe active alishakuachia hurukhaaa

Kuna wamathimba wanajiona don't careHahaha watu wanadai eti mapenzi yanauma, hivi wanajua maumivu ya kufungwa na mtani home and away, na kukosa ubingwa au kombe lolote kwa Misimu mitatu mfululu![]()


πππ hamuachi heka hekaAngalau waasi wamerejea
Uzi ubalance aisee