Selfika na JF: Snap it. Show it

Tabu za nini?
Hamia Yanga wananchi mbele daima
Aahh wapi tutakomaa na simba yetu mpaka ituue kwani wakati sisi tunachukua ubingwa Misimu minne mfululizo ninyi mlihamia huku, uzuri wa hizi timu zetu bhana mashabiki huwa tunapokezana muda wa kulia na kucheka, kwahiyo hata sisi muda wetu wa kucheka tena utafika tu 😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…