Bina selfika kitambo sijakuona π€
Okay sio nirudi nikute ushakula ban maana wewe huchelewiπNdio mdogo wako uliyemchagua utafanyaje sasa??? π€£π€£π€£
Wewe lewa mi niko makini kusubiria picha
ππππ Mi namuheshimu na ile sauti yake ya upole, sijui hata km anachapaga watoto wake..![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unajua namchachuaga Mello tsup?
Yaan nampaga heka heka, had anakimbiaa.
πππππ Hivi amri ya 8 inasemaje nimesahau!! Kaka ww ni mroma?? Naomba unikumbushe nimesahau
Bora umekujaOkay sio nirudi nikute ushakula ban maana wewe huchelewiπ
Yani Simba na Liverpool zinaninyanyasa Sana π₯Ίπ₯ΊWatu hawajui yaan!! Inauma na kuchoma km pasi ya umeme.
[emoji24][emoji24][emoji24]
ππππ ila bina wa motro
Aliyekwambia akupe na picha π€£D nimeambiwa umenunuliwa gari em selfika ukiwa ndani ya ndinga lako nikupongeze wifi, kutoka kumiliki iPhone mpk gari ni maendeleo makubwa.!! Em fanya jambo π
Kuwa na amani mimi nachangamsha kijiwe kilipoa sana π€£π€£π€£π€£Okay sio nirudi nikute ushakula ban maana wewe huchelewiπ
Forever and always msukumaaaaaaThe one and only one BL π₯π₯π₯β€οΈ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenyewe naenda chimbo, kuna kidampa anafundwaa leo, bas full tafraniii.Haki nateseka em ngoja niende kwenye uzi wetu ze ganaz humu nakabwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumekuuuuuchaaaa in Mzee majuto voice
Pendeza ccy πππ΅Shindo langu mimi mjikusanye wotreeeee!π΅
Muwe na mchana mwema wapendwaaa see you when you see me πππππππ!
Mi nakuwekea picha original Dogo,ngozi inafanyiwa skin care routine na product za kikorea filter for what?kama unatumia kojie ya mama bonge Kko ndio utaweka ukunguππππHaswaah aweke picha clear za HD hatutaki zenye ukungu macho mabovu hatuoni π€£π€£π€£π€£
πππ kwanini hupendi amani?π€£π€£π€£π€£ Ss hivi tumekatia bima id zetu
Ila nna mwiba umenikaba, mwenzenu mimi nateseka sijazoea kabisa haya maisha ya kutulia..!! Yesu nisaidie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah wee!! Akikaa less less narukaa nae juu mawinguniii,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mi namuheshimu na ile sauti yake ya upole, sijui hata km anachapaga watoto wake..!
Ewaaaaah!! ππππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umande wake sasa, iwawa njombee inasubiri.Mi nakuwekea picha original Dogo,ngozi inafanyiwa skin care routine na product za kikorea filter for what?kama unatumia kojie ya mama bonge Kko ndio utaweka ukungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Super tall wapi bn haya selfika na ww tukuone, mana siku nyingi sanaππππ ila bina wa motro
Toto super tall, limeenda hewani. Twiga wetu wa selfika π₯°π₯°π₯°π₯°
Mama kazaa, Mungu kaumba.!
Mie Man city kutolewa UCL na Madrid, nimevurugwaa had baas.Yani Simba na Liverpool zinaninyanyasa Sana [emoji3064][emoji3064]