Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

hujaona huko kuna uzi wa ndama..? sahivi tunaitwa ndama sie jinsia tofauti na nyie kisa tunanyonyaga maziwa yenu!,nikiangalia hapo umeweka mtindi mzuri mzuri ndo maana nauliza ndama wako hajambo...??😅
Lol kumbe ! Nilikua sijauona huo uziiiii hahaha mbona ndama! Ako vyedi sana sijui Ng'ombe wako huko !
 
Back
Top Bottom