Inabidi upungue kidogo uendeleze kipaji chako Cha udesignerYani Auntie nimekua mnene acha kabisa, Yale mashindano ya miss Tanzania sitaingia kabisa😁😁😁
Ntadesign za watu wanene na wembamba ccyInabidi upungue kidogo uendeleze kipaji chako Cha udesigner
Umiss ndio basi tena mweeeNtadesign za watu wanene na wembamba ccy
Yani umiss ndo umeisha hivo Auntie, sa hv nakua mshangazi😭😭😭😭😭Umiss ndio basi tena mweee
Nimekumbuka Ile picha yako nzuri nzuri kipindi kile kamodo
Umekaa umekunja miguu ba umeweka mikono usoni
mzima. 😅Lol kumbe ! Nilikua sijauona huo uziiiii hahaha mbona ndama! Ako vyedi sana sijui Ng'ombe wako huko !
Nilitoka online nikawa bize na Mambo mengine sis.Unalala sa hii kwani?
Sawa haya selfika ccyNilitoka online nikawa bize na Mambo mengine sis.
Hapo Ni kigauni kifupi na pensi fupi sis !Hii dress ccy mbona ya motrooooooo weeeeh.
Umewaka sana ccy😘😘😘😘
Ila katramuuu.Hapo Ni kigauni kifupi na pensi fupi sis !
Ngoja nijifotoe hapa karibu tunywe chaiiiSawa haya selfika ccy
Pendeza ccy😘😘😘 haya na kwako pia ccyUsijaree karibu tunywe chai kipenzi!
Muwe na asubuhi njema wapendwa
🤠🤠😁Ila katramuuu.
Alafu atokee mtu tu ety ng'ong'ong'o.
Huyu ni ww?Y'okotongo nga na zuwa, papa
Y'okofinga nga na zuwa, mama, aahn-aaah
Y'okotongo nga na zuwa epayi zuwa ya
(Moninga mabé) epayi zuwa ya, okutaki nga na yango
View attachment 2965292View attachment 2965294
Unazidi kunougaa tu 🔥🔥🔥View attachment 2965686
Mtoto wa Yesu ❤️
Asante ccy😚😚😚😚.Unazidi kunougaa tu moto 🔥🔥🔥
Pendeza ccy.
Inabidi ufanye mazoezi AuntieYani umiss ndo umeisha hivo Auntie, sa hv nakua mshangazi
Picha zangu za zamani zipo nimezitunza
