Selfika na JF: Snap it. Show it

Balimi nadhani ni kanda ya ziwa yote. hio Rubisi/ kalinya ni zile pombe za asili mfano wa gongo huku wanatumia ndizi kutengeneza

😁😁🀠!
Kumbe babu ndio Ngoswe mwenyewe dohh! Ulitishaa!
Mapenzi yanarun dunia asee kumbe hadi wazee yaliwatikisa !

Hatari sana
 
Kumbe kuna Pombe wanatumia ndizi kutengeneza, me niliwahi kunywa Mbege ambayo inatengezwa na Ndizi

Ilikuwa ni tamu sana πŸ˜‹πŸ™Œ

Hilo tukio la Ngoswe, kiketokea miaka mingi sitaki hata kukumbuka Mjukuu 😜

Kwasasa tumewaachia Vijana wapambane nayo πŸ˜…
 
Yeah hizo pia hutengenezwa kwa ndizi.
Mapenzi hekaheka kweli vijana ndio wanawezana nazo. Mzee unaweza aibika hivihivi babu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…