Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,934
- 71,011
Ookey sawa...asanteKuna mtu kainunua, so akanizuia kuiweka hadharani.
Ookey sawa...asanteKuna mtu kainunua, so akanizuia kuiweka hadharani.
Karibu sana mukubwa
Tutakupa cheti mwisho wa mwaka cha mwanaselfika bora kabisa..Calling it a day!
Muwe na weekend njema wapendwa
🤣🤣🤣😅😅 Hatari Sana, sijawahi kukuona lakini kule 🥴🥴Lishangazi letu la vituko mtandaoni. Unauprnda sana ule uzi.
😁😁😁!Tutakupa cheti mwisho wa mwaka cha mwanaselfika bora kabisa..
Mikono[emoji16]Hii ni nini? Miguu, shingo au Mikono?
Waenda wapi? Nilijua ABC hazina route nyanda za juu kusini..nimezizoea kanda ya kati dodoma na Singida...
Lipo kitamboWaenda wapi? Nilijua ABC hazina route nyanda za juu kusini..nimezizoea kanda ya kati dodoma na Singida...
kaelewa nini hebu toka huko wee mzee u.s.a baby hio nyumba yakwako au?🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nitatongozeaje nyumba za watu sasa? Una akili za ajabu kweli.
Niliyemnukuu na kuweka hiyo picha kaelewa na hakuna habari za kumtongoza mtu hapa.
Sina njaa na “mądemu JF”.
nakuuliza tena wee mzee unatafuta basha?
Duh 🔥🔥🔥🔥🔥View attachment 2961081
Eid 2 [emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Ningekuwa na namba ya Saida Karoli ningeomba dictionary yake kwaajili ya huu wimbo🎵Aahh Smartttttt
Mchu chu chu chu (hahaha)
Kebo nabiso elinge banda
(asiye bambi)
Aah! Kebo nabiso bayuma bakota kate
(isiba-koti)
Hah chaba pwe( ehe)
Chabapwe nakacha bilete
Soda(ehe)
Soda mundu kiakamba
Bombo bombooo bombooo🎵
Mrare unono wapendwa wacha nikapimzishe fuvu langu🐒🐒 😴💤😴💤💤💤😴😴💤😴😴💤💤😴
Ningekuwa na namba ya Saida Karoli ningeomba dictionary yake kwaajili ya huu wimbo
Isije kuwa mashairi yanasema Wazee tunaongezwa pension Jumatatu halafu hatujui 😅😜
Ccy lugha gani hii?🎵Aahh Smartttttt
Mchu chu chu chu (hahaha)
Kebo nabiso elinge banda
(asiye bambi)
Aah! Kebo nabiso bayuma bakota kate
(isiba-koti)
Hah chaba pwe( ehe
Chabapwe nakacha bilete
Soda(ehe)🎵[/|]
Mrare unono wapendwa wacha nikapumzishe fuvu langu 🐒🐒 😴😴💤😴💤😴😴💤😴💤😴😴
🤠🤠🤠🤠!Ccy lugha gani hii?
Sa'mbona picha ya mjengo umeiegemeza naiangalia kwa shida!