Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,572
- 22,441
Sindano gani inawekwa pamba, huyo anakamuliwa jipu.Tulia sindano ikuingie.
View attachment 2954183
Sindano gani inawekwa pamba, huyo anakamuliwa jipu.Tulia sindano ikuingie.
View attachment 2954183
Wapi wanatengeneza kuku namna hiyo mkuu? 🤣🤣🤣🤣View attachment 2951069
Tunamalizia Pasaka yetu.
Aisee! Unashiba hapo?Muwe na asubuhi njema wapendwa
Sisikii njaa kivile NdiomanaAisee! Unashiba hapo?
Mimi asubuhi nishapiga chai maandazi 6 na tambi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii🤠🤠🤠🤠!
Mi hata najua sis naimba tu😁
Kweli nimezeeka Babu yenu, hiyo Rubisi ndiyo kinywaji gani Mjukuu?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Saida karoli wa jirani na uganda 🤣🤣🤣🤭
Unaniua mbavuuu hukuuuu babuuuu!
Wazee ni hazina ya kipekee sana muishi miaka maelfuuu babuuuu!
Mjukuu wako hapo nishalewa rubisi ya kwa kwakina Saidaaaa hata sielewi naimba nini walai😁
Una guu la bia😄Asante mvua.
Local made alcohol ya huku bushi babu!Kweli nimezeeka Babu yenu, hiyo Rubisi ndiyo kinywaji gani Mjukuu?
OkayLocal made alcohol ya huku bushi babu!
Poapoa Am waitingNtakuja tsup mamie
Rubisi / kalinya Bia ya Wananzengo huku huwaambii kitu babu!Okay
Babu yenu nina Mwaka wa 50 huu natumia beer yangu pendwa ya John Walker 🍻 tu
Siku nikija huko nitajaribu kuonja hiyo beer yenu, perhaps could be somehow sweet 🤗
This member limits who may view their full profile.Poapoa Am waiting
Nimeona Mwanza pia huwaambii kitu na bia yao ya Balimi 😅Bia ya Wananzengo huku huwaambii kitu!
Kumbe babu ni mnywaji pombe???