100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,115
- 36,173
La hawla wala quwwata illa billah.Acha kuwatania waislam wewee
Nyie manaswara mnaamini mtaingia peponi kwa kumuamini nabii ISSAH
Wayahudi wanaamini wataingia peponi kwa kumuamini nabii MUSSA
Sie waislamu tunawaamini manabii hao wote na imani yetu kuingia peponi ni kumuamini mtume MUHAMMAD REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE.
Nyie mayahudi na wanaswara hamtoingia peponi kwa kutomuamini MTUME MUHAMMAD REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE.
Ngoja nipumzike Allah akijaaliya mapema niwahi Salat al-Jumu'ah.
Jumma Mubaraka , nakuombea dua uingie kwenye uislamu.