msondomba
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,928
- 2,442
Iyo nyimbo naikubal kinoma Rip Big popa , ameflow umo kama hataki inaonekana ww ni mhenga.
Iyo nyimbo naikubal kinoma Rip Big popa , ameflow umo kama hataki inaonekana ww ni mhenga.
Oooh!!![emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Huwa kuna wakati natamani nivae viatu Vya kiume mimi jamani [emoji1780]
Iyo nyimbo naikubal kinoma Rip Big popa , ameflow umo kama hataki inaonekana ww ni mhenga.
[emoji3][emoji3][emoji3] we baba J jamani
Mkwe ndio kusema[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Nimewamiss jamani
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Huwa kuna wakati natamani nivae viatu Vya kiume mimi jamani [emoji1780]
Yupo singo [emoji16]Nani anakuficha siku hizi
Hii itaenda juu kiasi gani?
[emoji3530][emoji3530][emoji3530]Nimewamiss jamani
Mama wenger mambo..
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]njooo utapimwa bureFundi naomba ukuje unipime nguo [emoji39]
[emoji122][emoji122]Niliuliza..Hivi kwanini Benki hakuna vyoo vya wateja?
Mhudumu wa benki akanijibu
umekuja kuweka hela au mavi"[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1280175
🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀[emoji3530][emoji3530][emoji3530]
[emoji870][emoji870][emoji122][emoji122][emoji122]mzee baba una moustache amaizing...
Poa jiranii za ww,Christmas hyoo
Hahahahha umeona eheeeNakuja!
Tutakutana kwenye kula mbavu za mbuzi[emoji16]
Kawaida yake[emoji23][emoji23][emoji23]Kwamva mmebishana weee ukachoka ukaamua ujipe kombe[emoji134][emoji134][emoji134]
We noma.
Nitake radhi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we naye huna tofauti na Saint anne,, huyo hahami leo wala kesho..