Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Miss you too 🤩
Vitu vizuri mpaka raha!!😍😍
Unichukulie kazawadi kamoja basi.😁
Miss you too 🤩
Nipo vilevile😂😂😂😂Kweli yani ndo maana una ka mwil kazuri potabooo..au ushanenepa? Maana nilikuona humu selfika long tym sana
Mbunge mtarajiwa fanya kunitumia vocha basi huna baya tajiri
YooooMiss you too 🤩
Vitu vizuri mpaka raha!!😍😍
Unichukulie kazawadi kamoja basi.😁
Isingekuwa Uzee huu nami ningeingia huko tujichotee hela za bure bure 😜Mbunge mtarajiwa fanya kunitumia vocha basi huna baya tajiri
Thanks love hii dedikesioooo huwa naipiga repeat mode 1 hata siku nzima huku nakumbuka uvokua ukiucheza mbele yangu haha nafurahi na kutabasamuuuuu mwenyewe!
Ukiachika nitafute 🏃🏃🏃🏃
🕺Ukiachika nitafute 🏃🏃🏃🏃
Mkuu hiyo avatar hao jamaa wakifungwa usiitoeeee Baki nayo hivyohivyoUkiachika nitafute 🏃🏃🏃🏃
Kuna watu wamepewa banned mfululu yaani wamepigwa Loki humu 😁😂🤣Mbona kama uzi umepoa? Kuna watu siwaoni humu 😂 😂
Ndo maana aiseeKuna watu wamepewa banned mfululu yaani wamepigwa Loki humu 😁😂🤣