Nang'ang'ana humu humu 😆Mjumbe komaa hapohapo home usitoke mtaani kugumu
Usimind sana Miss Alpellah embu tupia nyingine mamiiii 🤗Sijaelewa mkuu 😒
Hi😘Hello 👋👋🤩😍
🤣🤣🤣🙌🏿sawa na mimi nakupenda pia
MashatiHahahahaha upo Mkuu
Nakuja kamanda....Barikiwa sana"Kumpa ushindi mtu anayetaka kushindana ni ushindi pia "
Dada To yeye umenitoa pangoni ila hilo neno umelisema muda muafaka wakati nahangaika na viumbe wanaitwa binadamu .
Njoo tufurahi hapa central tupate walau chai dada mkubwa
Kwanini? Nimekuta kuna member wanasema hivyo, kuna ugomvi ulitokea tena?Uzi una misukosuko huu
Hata sijuiKwanini? Nimekuta kuna member wanasema hivyo, kuna ugomvi ulitokea tena?
Sawa.Hata sijui
Nmeona pia hapo Mshana anashukuru uzi kufunguliwa upya
Naam miss alpellah