Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa ulivyoviacha hivyo vindevu hapo kwenye picha, we bado dogo sana na unawatisha watu tu. Huna miaka zaidi 40's. Upo kwenye 30's hadi 40's mkuu. Siku zote nilikuwa najua unafanya utani ila leo ndio nimeprove rasmi.
Mkuu, Wazee wakikosea huwa wanaambiwa peke yao wakiwa pembeni........🤗

Picha ya Mwaka 71's hiyo lakini 😅
 
Karibu breakfast
20240316_083102.jpg
 
Kweli tupu. Huo mlo michosho tupu. Hapa nilipo ndiyo nimemaliza kupiga kiugali na kibulanga. Sabato itakwenda vizuri tu!
Hahaha..........Mwaka Jana nilipoenda Kijijini walinishangaa eti nimeshindwa kumaliza Ugali robo peke yangu, wanasema hivi hata nguvu za kuzalisha Wanawake utakuwa nazo kweli kama kaugali haka kanakushinda kumaliza Yego?

Nadhani mazingira yanachangia sana kubadiri mwenendo wa Kula

Kuishi Mjini kumefanya nipunguze kula kula sana
 
Back
Top Bottom