Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahahaha..we mzee mie nakuja hapo waambie wanichomee mbuzi nusu ..mama ako mdg yuko ardhi anakuja hapo mpokee ila usianze mambo yenu yale🤣🤣🤣 maana wazee wa mujini mko janja janja sana

Karibu Mkuu utatukuta Wazee wenzako.....

Alafu Sema Mjukuu bhana, huyo binti lazima atakuwa analingana umri na Mjukuu wangu wa 2003 😜
 
Karibu Mkuu utatukuta Wazee wenzako.....

Alafu Sema Mjukuu bhana, huyo binti lazima atakuwa analingana umri na Mjukuu wangu wa 2003 😜
Hahahahaha..Mkuu huyo binti tuozeshe tu sasa maana hkn jinsi tena..

Mko DDC ipi niko njiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…