Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Anawaokotaga kweli humu. Naonaga babu, babu. Nikajua ni mtu mzima, kumbe dogo la juzi tu.
Mkuu una bahati tuliozaliwa zamani hatuna vyeti vya Kuzaliwa, vinginevyo ningekuletea hapa uone vile tumekula Chumvi nyingi 😜

Anyways, tuendelee ku-selfika Mkuu 🤗
 
FB_IMG_1710576997483.jpg
 
😅😅 Vijana wameona picha ya lastborn wangu wamedhani ni Mimi

Wazee tumekula chumvi nyingi ujue 😜
Aaah wapi, sekondari tulifundiahwa kusoma picha na kutoa tafsiri mkuu. Usituharibie uzee wetu mkuu. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom