Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Anawaokotaga kweli humu. Naonaga babu, babu. Nikajua ni mtu mzima, kumbe dogo la juzi tu.
Mkuu una bahati tuliozaliwa zamani hatuna vyeti vya Kuzaliwa, vinginevyo ningekuletea hapa uone vile tumekula Chumvi nyingi 😜

Anyways, tuendelee ku-selfika Mkuu 🤗
 
FB_IMG_1710576997483.jpg
 
Nikajua ni mzee mwenzangu kweli, kumbe ni katoto kadogo hata 40 hakana🤣🤣
Mkuu, Tresor Mandala, huyu dogo anatuchukuliaje?🤣
😅😅 Vijana wameona picha ya lastborn wangu wamedhani ni Mimi

Wazee tumekula chumvi nyingi ujue 😜
 
Back
Top Bottom