Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG-20240311-WA0002.jpg
 
View attachment 2935138
Tunapowaambia tumekula chumvi nyingi ni kweli tunamaanisha ........

Picha ya Mwaka 71's hiyo 😜

Hello Friday 🥂
Kwa sisi watu wazima, tunaziona na kutambua umri wa mtu kwa kuangalia vitu vidogo vidogo.

Ndevu za mtu mwenye miaka 30's na kitambi cha mtu mwenye 30's to 40's. Upo kwenye umri wa 30's to 40. Hujavuka 40's mkuu. Dogo sana wewe.
 
Sawa sawa umepita mule mule..ila kwakua ni JF acha tumkubalie yeye ni muzee..hahahahahaha..ila ma master tulishaona hili
 
Back
Top Bottom