Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,290
Sawa babu. Tunasubiria.Ngoja niangalie kwenye album yangu.......Kuna picha nilipiga Mwaka 1971, ngoja nitaiweka hapa soon 🤗
Sawa babu. Tunasubiria.Ngoja niangalie kwenye album yangu.......Kuna picha nilipiga Mwaka 1971, ngoja nitaiweka hapa soon 🤗
Ngoja nideal na vinyweleo vya mkono wako nitaujua umri wako unaporange tu mkuuView attachment 2935138
Tunapowaambia tumekula chumvi nyingi ni kweli tunamaanisha ........
Picha ya Mwaka 71's hiyo 😜
Hello Friday 🥂
Santo sana kwa blessings babu naona kakitambi mchomoko kwambaaaaaaliii🤠View attachment 2935138
Tunapowaambia tumekula chumvi nyingi ni kweli tunamaanisha ........
Picha ya Mwaka 71's hiyo 😜
Hello Friday 🥂
Hivi unaweza kujua umri Kwa kuangalia vinyweleo?Ngoja nideal na vinyweleo vya mkono wako nitaujua umri wako unaporange tu mkuu
Hivi kumbe kanaonekana eeh?Santo sana kwa blessings babu naona kakitambi mchomoko kwambaaaaaaliii🤠
Hahahahaha..mkuu naona umewabless..safi sanaView attachment 2935138
Tunapowaambia tumekula chumvi nyingi ni kweli tunamaanisha ........
Picha ya Mwaka 71's hiyo 😜
Hello Friday 🥂
😀 haya mzeeHivi unaweza kujua umri Kwa kuangalia vinyweleo?
Basi ukipata Umri huo ongeza na miaka 43 hivi maana picha ya Mwaka 71 hiyo 😅
Mtoto ukimlaza hapo lazima anyamaze na atulie kabisa safi sana na hongeraHivi kumbe kanaonekana eeh?
Nilikuwa natumia kumbembelezea na kumlazia lastborn wetu akiwa analia...
Kweli tumezeeka sasa 🤗
Hahaha............nimeamua kuwa -bless Vijana picha ya Babu yao ya Mwaka 71's 😜Hahahahaha..mkuu naona umewabless..safi sana
Shukrani Mkuu...😀 haya mzee
Hahahahaha..eti picha ya mwaka 71..Mkuu bhana..hayaHahaha............nimeamua kuwa -bless Vijana picha ya Babu yao ya Mwaka 71's 😜
Shukrani Mjukuu 🤗Mtoto ukimlaza hapo lazima anyamaze na atulie kabisa safi sana na hongera
Weeee muongo babu unaonekana bado yanki kabisa.Shukrani Mjukuu 🤗
Kweli tumezeeka sasa 😜
HahahahahaWeeee muongo babu unaonekana bado yanki kabisa.
Hahaha....tunajaribu kuupa uhai Uzi wetu wa Selfika.Hahahahaha..eti picha ya mwaka 71..Mkuu bhana..haya
Hahahahaha..safi sana...inapendezaHahaha....tunajaribu kuupa uhai Uzi wetu wa Selfika.
Naona Vijana wamekuwa busy kidogo na utafutaji, hivyo Babu yao nimeamua kuwalindia kidogo 😜
Uyanki nautolea wapi Mjukuu, miaka 79 niliyonayo mchezo 🤗Weeee muongo babu unaonekana bado yanki kabisa.
Anatudanyanya huyu mzee gani aonekana yanki hivo😁!Hahahahaha