Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,551
- 235,319
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaa yaani unataka kesi ya nyani nipeleke kwa ngedere halafu nitegemee eti ngedere atakuwa upande wangu?? You girl!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Imbombo jilipo.Jamani
MfyuuuuuuuuuuuuSasa mwenzetu Heaven Sent anaishi kwa wa kishua kule,, sisi huku tunachojivunia ni benki kuu, mahakama kuu, chuo cha mzumbe na shule ya st francis ndiyo vinatuheshimisha watu wa forest ya zamani ila nyumba mamamama nzuri zinahesabika..
Halafu mbona hata kule kwenu pia watu wamejenga na ni pa kishua sana ila basi tu hapa unajichetua,, yaani Mbeya mjini ilivyo ndogo sehemu za kishua zote zinajulikana na za changanyikeni zote zinajulikana wewe na H S mnaishi sehemu za kishua mno..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siwezi kujionyesha hapa you know
Ndiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzio yuko serious sasa hata wewe kweli ni wa kuniambia hivyo??[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]mwee
Mlio wa ndege [emoji3][emoji3][emoji3]
Yaani acha tu.
Nakuungaje mkono kupenda kelele?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona mama, huyo nimeshamzoea na kwa vile ni yeye ameniambia hivyo sishangai siku akiongea lolote zuri kuhusu mimi nishitue.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nimeshangaa hata wewe kumuunga mkono
Imbombo jilipo.
Mfyuuuuuuuuuuuu
Mdogo angu wa mwisho kabisa hayo mazungumzo nimeyaanzia hapo nilipokuqoute ππ na uzee huu kweli nianze kuscroll macomments yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mdogo wangu hayo mazungumzo umeyaanzia mwanzo kweli?? Mie napenda vitu vingi ila yeye kaona eti mlio wa ndege ndiyo utanifaa sababu napenda makelele!!
Wewe mnyakyusa feki.Tena ngafu...
Ndiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππUnataka tuanze kubishana
Nakuungaje mkono kupenda kelele?[emoji23]
Mdogo angu wa mwisho kabisa hayo mazungumzo nimeyaanzia hapo nilipokuqoute [emoji3][emoji3] na uzee huu kweli nianze kuscroll macomments yenu
kama sio kumbi na kumbinga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Otimbi na timbilioo