Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,429
- 94,854
Ww mtu wa Mungu unapendaje uongo?? 😂😂😂Hivyohivyo
Mimi nakubali tu
Ww mtu wa Mungu unapendaje uongo?? 😂😂😂Hivyohivyo
Mimi nakubali tu
Uzuri matajiri wote sijawahi ona mwenye mbambamba.Wewe unachotaka atume ukamilishe majibu ya maswali yako 😂😂😂😂
Khaaaaaaa!! 🙌 😂😂😂😂😂😂Toa tu shemeji
Asikuchoshe
Walishakula bando langu na udugu wake
Hapa sina muda tena wa kumsikiliza.
We endelea tu.
Kabisaa matajiri hawana mbambamba sio km kina sie njaa tupu, tupo kuswampa JF 😂😂😂Uzuri matajiri wote sijawahi ona mwenye mbambamba.
Labda mumcheleweshee mzigo,hapo lazima uone rangi zote.
😂😂😂😂😂 nimkane niniAtakukana kama hakujui vile, we subiri[emoji23][emoji23][emoji23]
Ww mtu wa Mungu unapendaje uongo?? 😂😂😂
Kila leo mbona hilo nasemaga humu lamama na la Kamera kunibeba huwa unafocus wapi husomi koments jamani!! Team obese in the One and two Niko furuuuu sina muda na sijaree wala nenee na tambi langu natupia 🤳🤳🤳🤳🤳 tu!Udugu una mimba nyingine?? 😜
Ww mtu wa Mungu unapendaje uongo?? 😂😂😂
Kamkanana udugu wake itakuwa mie?Atakukana kama hakujui vile, we subiri[emoji23][emoji23][emoji23]
Lamama pisi Kali kama udugu wake🔥🔥🔥🔥🔥🔥Kuchat na picha kidogo wapendwa 😂😂😂
Uduguu 😂😂😂😂Kila leo mbona hilo nasemaga humu lamama na la Kamera kunibeba huwa unafocus wapi husomi koments jamani!! Team obese in the One and two Niko furuuuu sina muda na sijaree wala nenee na tambi langu natupia 🤳🤳🤳🤳🤳 tu!
Nikiweka video navokufika kiunoni nilivo flat hips livopinda sasa mbona ntaaibika mimi uwiii 🤔🤔
Jr anapenda mandondo wacha nikabandike aseee!
See you when you see me ✌️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️
Siyo wewe wala udugu aliyenirudishia vocha yangu niliyosongeshaKhaaaaaaa!! 🙌 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 Anna uduguu wangu sijamkana mbona tupo okay banaKamkanana udugu wake itakuwa mie?
Wala siogopi😂
Sema kambumbu ilikuwa Kali sana😂😂😂😂😂 Anna uduguu wangu sijamkana mbona tupo okay bana
Mimi na mama miongozo tunajuana hapa naenda pm kucheka naye
Udugu ananichekesha kweli anasema yy mrefu eti namfika kiunoni, mabonge nyanya yanachekasha sana 😂😂😂😂Lamama pisi Kali kama udugu wake🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mlikutana wote vyuma 🔥
😂😂😂😂😂 Wacha weeeeUlisikia wapi mheshimiwa muongo?
Oda tu aliweka akalipia.
Waongo ni nyie bwana,siyo mheshimiwa.
Mbona kama mnalinganaUdugu ananichekesha kweli anasema yy mrefu eti namfika kiunoni, mabonge nyanya yanachekasha sana 😂😂😂😂
Mimi na yy vimo vyetu wote vya maandamano tu
Matajiri mmeanza kutufokea 😂😂😂😂
Simama,totoo.Kuchat na picha kidogo wapendwa 😂😂😂