Selfika na JF: Snap it. Show it

Na take notes natka nije kua kama wewe Chief
 
Nashukuru Kwa busara zako Mkuu

Pamoja na kuwa kichwa changu kimejaa Mvi kuonesha busara nilizonazo, naomba leo nichote busara zako pia.

🥂
 
Aikoooo i second you u mzee Babu hii haikutakiwa kuwa hivi😢😢 these two pysche know each other healthy. ila there is a chick behind plays as printers' devil.
 
Aikoooo i second you u mzee hii haikutakiwa kuwa hivi😢😢 these two pysche know each other healthy. ila there is a chick behind plays as printers' devil.
Tuwaombe waweke kando tofauti zao na waende mbele pamoja.

Nina hakika wakishikamana wanaweza kuwa partners wazuri kwenye biashara.

Huyu anaagiza mzigo kutoka DSM mwingine anaupokea kule Nyakibingi wanaendelea kutengeneza hela

Wasipoelewana, Kuna Siku hawataweza hata kusalimiana hapa ama huko nje barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…