Selfika na JF: Snap it. Show it

Unamuumiza udugu wako

#kudate suala 1
Kuhongwa vinono suala lingine
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Weka video sasa mbona unapiga domo tupu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ww unajiamini ila video huweki, leo utakosa maziwa ya kumnyonyesha mtoto ujue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mie huyu niweke video yanini?? Picha zangu zatosha kujieleza poleee! Unataka video ili tugundue nini labda????

Undumilakuwili utakutoa rohoo mwanamke chunga sana!

Miongozo miongozo miongozo wee Tena Ukome kumtajataja kila siku atajing'aπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’
 
Ila humu mbona watu ni malimbukeni na ni washamba jamanii kumbe humu ni bora usijuane na mtu hii comment imejaa kinyaa na aibu.
 
Huku watu wanagawa tu mahela ndugu, we hujapewa?🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚jua la daslama kaliii
Naomba namba nimfate babu
Naskia anatoa hela za flights tuu
Kanyooka kama rula, mzee ana balaa πŸ˜‚
 
Mi hatujuani🀣😁,
 
Uduguu ushaanza kupoteza direction taratiiiiiibuuu unajaa kwenye mfumo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wewe si ndo umesema tuweke video, mimi nimeweka picha tayari ushageuka hutaki tena video kwann sasa?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Miongozo ntamtaja mpk arefuke uko aliko shenzy 🀣

Mimi wewe uduguu wangu, unajua maana ya uduguu?? Ni ndugu yako anayekufundisha kwenye nyeupe kusema nyeupe, na nyeusi kusema nyeusi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Almanusura nipitwe na picha hivihivi lol!


Hapa leo vyuma viwili
Matajiri wawili

Vocha hatukosiπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 

Hahahaha! Hebuu ncheke kwanza Sio babu nilokukuwadia tena???

Kama nawaona wanavokuchora mwanahabari na msemaji wawatu pensoo Usiseme itel sema itel ilofungwa rubber band 🀣🀣🀣🀣🀣🀭🀭ila inanitoa balaaa nhahnhaaaa! Nasubiria jipyaaaaaa bado hujasemaaa!!

Nyegembwatuko kapinchi bado hujasemaaa
 

Attachments

  • Screenshot_20240228-120503.jpg
    269.1 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…