Ya sahivi yanachekeshaLeo haulii๐
Yani katika vitu sipendi ni kusemwa na hasa kusingiziwa. Kuna wakati unatamani ungejua physical address za hawa watu.Hata kwenye stori sijui niliingia vipi maana ilikuwa uzi wamefunguliana huko,ERoni alikuwa anajadiliana,nikaingizwa na mm kwenye stori from no where na matusi kibao.
Nikawaza ama ndio vitisho nilivyopewa pm wamekuja kutimiza azma yao.
Well kuhusu kurudi humu ni hapanaI mean no malice to nobody, namaanisha una pewa ushauri mzuri.
๐Tatizo we una jiogopa, kwa maana nafsi yako isha kushauri
Nina uchunguu mahi dihaaaa ๐๐๐
Usilie utaniliza mahii
Mimi issue ya mtoto nina uhakika atakuwa National/ ShimbaAu kama @Depal issue ya mtoto dah
Namjua wapi huyu dada
Nilisikia maneno tu huko
Asante sana
Nashukuru
Yeah hopefully siku uzi utakuja kuwa sawa kabisa . Let's be positive .
Kumekuchaaaaa
Wacha niunge bando Hapa
Leo Songesha mnivumilie,ni mteja wenu leo
Hehehe kumbe aiseeMimi issue ya mtoto nina uhakika atakuwa National/ Shimba
๐๐ hao ndio watu pekee niliowadanganyaga kwamba nishazaa.
Ila kuyakuta kwa Rabb
Na akasema we ndio umesema
Na akasema umesema mm naringa, nachat kwa kujuana?
๐๐๐๐ mimi hata havinishtui mahi wangu. Shaka ondoa โ๏ธโ๏ธ๐
๐๐๐๐ Haswaa wenye vichaa vya mahusiano usiwajibu ni wakaliDah kuna siku naletewa screenshot IDs zimenitukana hatari
Stori ambazo na mm ndio naziona pale
Sema mimi sinaga muda wa kujibu vichaa nikasema tu Mungu ataufunua ukweli.
Humu watu Wana kikundi chao cha kuchakata umbeya .Mimi issue ya mtoto nina uhakika atakuwa National/ Shimba
๐๐ hao ndio watu pekee niliowadanganyaga kwamba nishazaa.
Ila kuyakuta kwa Rabb
Na akasema we ndio umesema
Na akasema umesema mm naringa, nachat kwa kujuana?
๐๐๐๐ mimi hata havinishtui mahi wangu. Shaka ondoa โ๏ธโ๏ธ๐
Ahsante kwa maneno yako machafu,napita "naked" kabisa na unanisema?๐Mzee ana kichwa Kama tender๐๐คฃ
View attachment 2918982
Asante sana dearestWa kuweka sawa uzi ni sisi wenyewe.
Na njia ya kuweka sawa ni kuachana na hizo stori zote zilizoharibu amani ya Uzi...kuendelea na stori nyingine
Tuendelee na picha
Tuendelee na mapishi
Tuendelee na mengine mengi ya utani ambayo tulikuwa tunadurahia pamoja.
Ukikimbia utaendelea kuleta attention kwa watu na watazidi kukuuliza na kuuliza maswali..
Ukiwepo na kuendelea na mambo mengine,stori za vurugu na maswali yote yatapotea.
Mama Miongozo anawachezea akili zenu ๐๐๐Dah๐๐๐๐๐๐๐
Yaani Kuna stori zinachekesha๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Halafu wawe wanafungua na nyuzi kabisa na kuweka ushahidi mubashara,siyo porojo tupu.
Aliyetunga simjui ila popote alipo Mungu anamjua na nilishamuachia Mungu,kwa kila Neno atatoa hesabu.
Wanapigana na Mimi,wanapigana kazi ya Mungu alivyonipa,Ina maana wanapigana na Mungu mwenyewe
Mimi wala sina cha kupambania.
Mapema sana wamelianzisha๐๐๐๐
Heka heka mchana na jua lote hili
Wee video yako iko wapi?? Mbona huweki tuone umekomalia wenzio waweke video??You pipo know me very well asante sana! ๐๐!
Humuu hakuna asie na macho au masikio kusema haoni kinachoendelea Ndiomana unaona watu wapo kimyaa hawaingilii wapo selfika muda mrefu zaidi ya huyo shortiiiiiii some wanajua each and everything! Na toka muda humu Kuna wabwatukaji wanajulikana vizuri no need ya kujitetea !
Sema nini mkuki kwa nguruwe maninnnaaa!๐๐๐!
Mmeambiwa sikuhizi muweke videos ili tunaotumia filter tuumbuke shenzkabisaa๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ!
Shortiiiiiiiiiiiiiiii๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐
Na picha jamani
Sema nacho kupendea Ume tulia๐, I love you mchumba ๐Hao nao wanazingua si wapige story usiku kwa sasa niko na deli kichwani nauza ukwaju mda sina ๐๐