Selfika na JF: Snap it. Show it

Kinawaka kivumbi cha wenye pesa sasa, wapiiiii tajiriii,
Wapiiii pedesheee ndramaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila selfika kila siku vita mpyaaa.
 
Kuna kipusa aliniita Mimi ni kanjanja wakati mie nipo royal humu Wala sina shida na mtu kuhusu picha zile za Italy navyoziweka hata mwenye nazo anajua kuwa natumia picha zake maana ninachat nae dm ni mwanangu pia na juzi nimeongea nae fresh tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipusaa tenaaa? Woiiiiiiii
Jamaniiiiiii kumekuchaaaaa hapaaaaaa.
 
Vyoteee, maana wananichanganya sielewi nishike lipi niache lipi,
Rab alisema na kushusha PDF, anakuja DA tin anasema haikua hvyooo.
Mbea mie ndo navurugwa balaa, nataka kitu clear bhana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si uwaite tu wote aletuya na Rabbitus wakutane hapa wakueleze nini huelewi

Uliza wapi huelewi ukumbushwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Angalia tu dogo usije kufanya mauaji ya kukusudia ukaenda jela
Bado tunahitaji ule Red velvet πŸ˜‚,jela hazipo hizi
🀣🀣🀣 utakuwa unaniletea basi huko jela au utaacha kila sku niwe nakula ugali kisa uraiani skuula
 
Ndo nimemaliza mimi
Sina la kuongea zaidi

Na juzi ile nilikuwa na mood ya kuongea tu .

Done ....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani wafanye wakujee, mbea nipate ubuyu ulokamilikaa haswaaa.

Siwezi kuishi na dukuduku la labda, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23
Tuishie hapo Cocastic .

I think nielezea vizuri sana siku ile what happened.

Maisha yaendelee tu , Kuna parts mbili chagua kuamini part yoyote tu .
 
Si uwaite tu wote aletuya na Rabbitus wakutane hapa wakueleze nini huelewi

Uliza wapi huelewi ukumbushwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nishachoka mie
Hii haitoisha , na ukijibu maswali yanazidi .

Umbeya hauishi humu ...
Sitaki maneno zaidi ..

Humu ngoja nilog out kesho na kusepa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Maana I'm constantly reminded of what happened .

Na mie sitaki kabisa Kila siku niwe najielezea kama nipo court
 
Seems Kilingala upo vizuri Mkuu?

Kumbe sababu haikuwa ni zile bia 5 nilizokunywa kunijaza huzuni ......shida ni upweke/mapenzi kama mashairi yanavyosema......

Pombe hufanya usimuhitaji Ras Simba kuweza kukufundisha Lugha, you just speak automatic 😜

Ngoja niamke nazo asubuhi hii labda nitaelewa mashairi ya wimbo wake mwingine wa "Eloko Oyo"πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…