Mimi ni mwananchi Mwema hiki kiwanda kinachoitengeza sikijui. Hii ni mara ya Pili naogea sabuni hii hapa Mkoani Manyara ndani ya Hotel/Lodge fulani Babati Mjini. Kila nikimaliza kuoga nasikia ubaridi katikati ya sehemu ya haja kubwa mara ya kwanza sikuelewa leo mara pili nikiiogea tu ikiingia...