Una matatizo sana.Oohh labda useme hapo,, mie mbeya kinachonikera panawahi sana kupoa wakati mie napenda sehemu kuwe na makelele muda wote mfano kwa dar sehemu kama mbagala hivi hata ukitaka kutoka usiku wa manane unatoka..
Kumbe wewe mhaya!!!
Sasa wewe wa mjini unajua lugha gani?
Hembu sema ukweli[emoji3].
Kumbe wewe mhaya!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani wabongo huwa mnapenda sana kudanganywa,, haya mama sijui lugha hata moja..
Okey.Nusu.
Mbeya saa 4 hukuti daladala.
Ndo vizuri ,tunalala pasi na makelele
Mbeya kunawafaa watu Kama mimi
Tena Sana tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una matatizo sana.
Atoto amesema una matatizo [emoji23]Kabisa mwaya mie naupenda sana mkoa wangu huu ila tatizo ndiyo hilo tu
Hahahaaa. Aunt S nilimpa salamu. Aunt J kasema unamchunia. Wengine wote ntafikisha salama
Oohh labda useme hapo,, mie mbeya kinachonikera panawahi sana kupoa wakati mie napenda sehemu kuwe na makelele muda wote mfano kwa dar sehemu kama mbagala hivi hata ukitaka kutoka usiku wa manane unatoka..
Tutake radhi Wana mbeya[emoji3]
Ati mbeya pachafu?
Na dar watasemaje??
Karibu Sana jiji la kijani
Pumbavu
Vinyumba gani unaviongelea wewe?Aaah wapi...vijumba vya matope hivyosi ndio uchafu wenyewe...
Bora hata vingekuwa vinachapiwa kuziba hayi matofali
Vinyumba gani unaviongelea wewe?
Mbeya unaifahamu vizuri?
Uuunh nimekusahu Nonde na Simike...mamamaaaa tena kule ndio kubayaaaaNisehemu gani siifahamu mimi, anzia Nsalagha hadi Mbalizi kule...Ghana hadi Forest Mpya, Soweto, Ilomba, Mama John, Sae,Block T,Makunguru, Nzovwe, Mabatini, Jacaranda, Majengo kote kule Rejco, Mbata, Sabasaba....
Heheh niendelee
Duh!Nisehemu gani siifahamu mimi, anzia Nsalagha hadi Mbalizi kule...Ghana hadi Forest Mpya, Soweto, Ilomba, Mama John, Sae,Block T,Makunguru, Nzovwe, Mabatini, Jacaranda, Majengo kote kule Rejco, Mbata, Sabasaba....
Heheh niendelee
Keep hustling [emoji111]