cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,371
- 188,081
Kheeeeh unakataaa tena mara hii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijasema hata [emoji23][emoji23]
Wee DA tin wee,
Kheeeeh unakataaa tena mara hii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijasema hata [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan[emoji16][emoji16][emoji16]
Duuuh poleee sana DA tin, kwan ulimkosea nn kikubwa the great guy? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeh nimemsifia tu jinsi alivyo .
Hayo mengine ni yalitokea tu.
Upendo ukiisha bhana Kila jambo zuri linakuwa baya .
Hakuna kulalaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie muda umeenda tulale, kesho nayo siku [emoji23][emoji23][emoji23]
Eehh 😂😂😅Kheeeeh unakataaa tena mara hii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee DA tin wee,
Kuna maneno aliniambia nikaja kuuliza huo umbeya kwa mtu mwenyewe haswa aliyenisema .Duuuh poleee sana DA tin, kwan ulimkosea nn kikubwa the great guy? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna cha ulimbo wala nini 😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shida Sele ana ulimbo, ukinasaa hutokiiii.
Labda lije greda bovu likukwangue hapo.
Sasa wee unadhani nn hapo? Em semaa kwanHakuna cha ulimbo wala nini [emoji16][emoji16]
Sie wengine huku ni kwanza mchana😁😁😁Nyie muda umeenda tulale, kesho nayo siku 😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] je km yeye hayuko peace naweee? UnafanyajeeeEehh [emoji23][emoji23][emoji28]
Mie Niko peace na ex people [emoji23][emoji23]
Ooooh kumbe ndo ilivyokua? Sasa kwann the great guy hakukutetea ndo akaanza kuyatinganya mambo humuuu?Kuna maneno aliniambia nikaja kuuliza huo umbeya kwa mtu mwenyewe haswa aliyenisema .
Na mm na ujinga wangu nikamwambia nimeambiwa na Fulani .
Na yeye akauleta huku .
Kosa langu lilianza hapa
Hilo la Kwake 😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] je km yeye hayuko peace naweee? Unafanyajeee
Tatizo fulani akinitongoza siwezi kukataa,pengine ana maokoto ngoja nikubali,Halafu nikitoka nae si nitaonekana mrembo halafu matawi ya juu kwanza huyu anaonekana pesa nzimo😁😁😁😁Sasa wee unadhani nn hapo? Em semaa kwan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kipenziOoooh kumbe ndo ilivyokua? Sasa kwann the great guy hakukutetea ndo akaanza kuyatinganya mambo humuuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu atusaidie wadada tupate akili .Tatizo fulani akinitongoza siwezi kukataa,pengine ana maokoto ngoja nikubali,Halafu nikitoka nae si nitaonekana mrembo halafu matawi ya juu kwanza huyu anaonekana pesa nzimo😁😁😁😁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana wallah, na JF kila mtu ana gari, nyumba na maisha swafiiii, unakataaje bahati hiyooo? Unajilipuaaa tyuuh.Tatizo fulani akinitongoza siwezi kukataa,pengine ana maokoto ngoja nikubali,Halafu nikitoka nae si nitaonekana mrembo halafu matawi ya juu kwanza huyu anaonekana pesa nzimo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Duuuh poleeee sanaa dear.Sijui kipenzi
Ilipangwa itokee
Umbeya uliniponza big time .
Laiti nisingemcomfront yule mtu haya yote yasingetokea .
Everything happens for a reason ila.
AmeenMungu atusaidie wadada tupate akili .
Financial stablilty haswa .