Yeah maana humu kusemana ndo mpango mzima .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kusemana.com
Hatariiii tupuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kusemana.com
Hatariiii tupuuuu
Sasa Great guy ndo alete njegeka hizi had uzi unayumba yumba km mlevi mpya kaona Bar classic?Eeh jamani nyie [emoji23][emoji23]
Rab
Shangaa na wewe?!!Hivi humu mtu anapata wapi ujasiri kukwambia ana kupenda bila kusahau kukwambia uko peke yako 😁😁😁😁
Mtu mmoja ambaye anauwezo wa kumiliki ID hata mia😁😁😁😁
😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema dyadyaaa semaaa.
Muwe mnawatajaaaa bhanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Humu kuna wachawi, km huna roho ya paka unatema ndoano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila JF kuna mtu unamuona shosti huwezi amini anachat piem na mpz wako na wanakuteta kabisaaa!!!
Hehehe makubwa nimetokaje na hao wote dahKwa hali ya kawaida asingepanic vile bana, hivi national na Rab nani kati yao ulimpenda sana??
Na mjep na eron naye nani ulimpenda sana??
Mana hao wote ndio uliambiwa ulitoka nao humu 😜
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna jambo litakukuta, wee hayaa tyuuh.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sele wa moto, anapiga mitukunyema mpk vimbaumbau haachi kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu na bi mkubwa wake mjiniiii.Humu hakuna urafiki kila siku mimi nasema, humu ni kwa kukaa kwa password [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nna ushahidi kabisa bro mmoja kapiga mtu na shogaake na bi mkubwa hajui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amesema Rab ndo great guy haswaa.Kwa hali ya kawaida asingepanic vile bana, hivi national na Rab nani kati yao ulimpenda sana??
Na mjep na eron naye nani ulimpenda sana??
Mana hao wote ndio uliambiwa ulitoka nao humu [emoji12]
Halafu kwa nini Wanawake wanao shea dudyu humu wanagombana wawe na umoja kwa maana wote watapigwa chini sooon laiti wangejua wenzenu kwenye kikao chao wamedhamilia ni chapa ilale, Nendeni kwenye uzi wa kuliwa kimasihara ndo mtajua humu kuna wahuni sana.Shangaa na wewe?!!
Kuna watu walitongozana kwa mara ya pili kwa id tofauti na za mwanzo…
Walikuja kushtuka walivyokutana tena, walijiona wote malaya 😂😂😂😂
Humu ni hatari zaidi ya dangerHumu hakuna urafiki kila siku mimi nasema, humu ni kwa kukaa kwa password 😂😂😂
Mi nna ushahidi kabisa bro mmoja kapiga mtu na shogaake na bi mkubwa hajui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan full mazingizonge.Hivi humu mtu anapata wapi ujasiri kukwambia ana kupenda bila kusahau kukwambia uko peke yako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mtu mmoja ambaye anauwezo wa kumiliki ID hata mia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sijasema hata 😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amesema Rab ndo great guy haswaa.
Na access ya JF alipewa, vipi hao wenginee?
Piga kelele kwa Rab ake, weuweeeeeeeeeeeeeeHehee [emoji23][emoji23][emoji23]
Anajua kujali sana
Anaonyesha upendo
He's sweet balaa
Genius
Protective
Anakupa muda wake hii ndo kazidi
Anatamani kukuinua kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeah maana humu kusemana ndo mpango mzima .
Sijui mm jamani 😂😂Sasa Great guy ndo alete njegeka hizi had uzi unayumba yumba km mlevi mpya kaona Bar classic?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee DA tin em sema kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
😁😁😁Piga kelele kwa Rab ake, weuweeeeeeeeeeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sasa mbona hapa alikukana hakutaki na hakuwahi kukupenda, ila wee ndo ulikua unashobokaaa kwakee, iko namna ganii hiii?
Hebu elezaaa hapa kwan?
Eeh nimemsifia tu jinsi alivyo .Piga kelele kwa Rab ake, weuweeeeeeeeeeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sasa mbona hapa alikukana hakutaki na hakuwahi kukupenda, ila wee ndo ulikua unashobokaaa kwakee, iko namna ganii hiii?
Hebu elezaaa hapa kwan?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shida Sele ana ulimbo, ukinasaa hutokiiii.Halafu kwa nini Wanawake wanao shea dudyu humu wanagombana wawe na umoja kwa maana wote watapigwa chini sooon laiti wangejua wenzenu kwenye kikao chao wamedhamilia ni chapa ilale, Nendeni kwenye uzi wa kuliwa kimasihara ndo mtajua humu kuna wahuni sana.