Selfika na JF: Snap it. Show it

Aikoooooo! Nilitelekeza fekero langu kisengerema baada ya kufanya blunder ya kujuana na simbilisi wa humu. But not this timeee 🀣 🀣 🀣 nakinga maji hapa Dongobesh
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Aikoooo! Ss hivi ushajifunza humu hutakiwi kujuana na kima yoyote, lasivyo JF utaiona chungu..
 
Hatujawahi kuonana

Humu watu ni wabaya sana ni wanaenda na silaha kabisa za vita

Mtu anajifanya huyo demu ni wangu

Mara mhuni hajatulia na maneno kibao .

Ndo ikabidi nimwambie huyo kaka watu niliowahi onana humu .
 
Crew ipi? Zitajee nikufafanulieee? Ila utalipiaaa?
Umbea siku hizi ni fursa, hata Mange anaishi South California kwa ajiri ya umbeaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka tu nijue wamebadil ID au
Yule papaa alokua anamwaga vocha
Kunae yule Eng wa barabara
Kuna rubani
Wanawake alkuepo mmoja wa kansani
Mwingine anapenda bajaj
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie walllah.
Khaaaaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km umeshazoea heka heka unaona zereu tyuuh, afu unaswampaaa km kauwaaaaa.

Hakuna kulengendeka, ni mbele mbelee hyooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Humu ni balaa na mkosi kwa kweli .
Ni kukaa kwa kutulia
 
Uwii nimecheka jamani
Unanitafutia dhambi mm [emoji28][emoji28]

Kuna Moja alipiga simu na kuniambia niingie online niweke vitu clear aisee

ndugu yangu alimchamba hatari halafu mie nikamjibu na kizungu sijui .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mbona ulikuja kuomba msamaha DA tin? Wee em sena kweliii bhanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…