Selfika na JF: Snap it. Show it

Well this is too much kwa kweli
Wengine wanakuja wanasema yule dada hajajiua jamani hata mtu kakosea you can't talk bitter words like that ??

Kuna too much bullying from this thread and it's toxic kwa kweli .

No one is perfect , humu kuomba msamaha tayari you're considered weak .. or seeking sympathy .

Yaani isingekuwa rahisi kuja mim muda ule kwanza Uzi ulifungwa na sio my character kubishana na watu .

.
I'm not good at jokes ndo maana I'm taking it very serious .
 
hahaaa
So you think nitakosa Raha kisa drama za Jf .
I'm not weak kihivyo
I'm enjoying life to the fullest kwa kudra za Mungu

Coca umejibu hivi
Do you hold a grudge or what ??
Wee DA tin mie nakupanikishaa unipee umbeaa tyuuh bas..
Yaan niwe na ubuyuu haujakamilika, nakua cna amani kabisaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwagaaa ubuyuuu bhanaaaa.
 
Nyie mnaweza kuvumilia haya Mambo
Mimi ndo maana humu hapanifai ...

Yaani uongo hakuna kisses kwenye gari

Ila dah rabbitus ..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na UTI sugu.
 
Wee DA tin mie nakupanikishaa unipee umbeaa tyuuh bas..
Yaan niwe na ubuyuu haujakamilika, nakua cna amani kabisaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwagaaa ubuyuuu bhanaaaa.
Sina ubuyu mie
Don't stress about it
Yaani ndo sitoingia tena humu maana hata nikija kusema hiki ni ninapoteza muda .
 
Wee ulikoseaa kumpa mtu access ya kuujua undani wakoo, had password ya JF, Khaaaaaah
Ulimeza mlulu wallah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee ulikoseaa kumpa mtu access ya kuujua undani wakoo, had password ya JF, Khaaaaaah
Ulimeza mlulu wallah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Balaa tupu nilirogwa sijui .
 
Ilitakiwa usiombe mtu msamaha..!!
Unaomba msamaha watu usiowajua??
JF haiko km ww unavyoichukulia, km mtu mmoja anaweza kumiliki id’s zaidi ya moja utamuomba msamaha utaweza???
Unaomba na hii anakuja kukusema tena na nyingine..
Ww ishi maisha yako, ishi km watu wasiojulikana..!
Max sio mjinga alivyoweka watu watumie fake id.. hii kutaka kujuana ndio mbaya
 
Wee ulikoseaa kumpa mtu access ya kuujua undani wakoo, had password ya JF, Khaaaaaah
Ulimeza mlulu wallah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mi ndio namshangaa Tin sijui alifeli wapi??
Matokeo yake tumeyajua yote ambayo hatukutakiwa kuyajua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nyie mnaweza kuvumilia haya Mambo
Mimi ndo maana humu hapanifai ...

Yaani uongo hakuna kisses kwenye gari

Ila dah rabbitus ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa Rab yeye aliyapata wapiiii?
Maana zilishushwa PDF humu hatari mnooo.

Sasa ndo natakaa wee utuelezee kinaga ubagaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sina ubuyu mie
Don't stress about it
Yaani ndo sitoingia tena humu maana hata nikija kusema hiki ni ninapoteza muda .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usikimbiee bhanaaa, wee huoni sisi tunanangwaa hapa, na bado tuko winja winjaaaa.

Afu hatukimbiiii I'd sasa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na UTI sugu.
Na cha ajabu UTI inalala na kuamkia huko ilipoanzia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
JF niliisoma kabla ya kuanza hekaheka, humu ukitaka uonekane wa hovyo wape watu access ya kujua maisha yako umekwishaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa Rab yeye aliyapata wapiiii?
Maana zilishushwa PDF humu hatari mnooo.

Sasa ndo natakaa wee utuelezee kinaga ubagaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh hatari na Mungu aliniepusha na hizo pdf πŸ˜‚πŸ˜‚

Nilipokuja kuingia ni ninakuta mods wamefuta sehemu kubwa .

Sijui mimi alipata wapi ..
 
Na mi ndio namshangaa Tin sijui alifeli wapi??
Matokeo yake tumeyajua yote ambayo hatukutakiwa kuyajua [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila selfikaa ya motooo, kila siku njegeka na wahusika wake wapyaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan inahama kutoka kwa huyu na kuhamia kwa yulee.
Woiiiiiiih.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…