Duuuuh kaziii ipooo. Hii mpyaa kabisaaaa.
Aseeeeh nyie mnajua mnachogombanaaa.
Mie ndo hata sikua najua chochote, nashangaaa hapaa. Mtamalizanaga wenyewee.
ππππ Kwahiyo ulipiga sate ngapi za maboya Tin?? Mbona huu ubuyu unaubania sana??Aisee humu mnawezana wenyewe .
Ah hapana sio thirty mie π
Hebu mzipost hapaaa uduguuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ulikuwa unaforce km uliziweka kwa shoga ako [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza ww ni dume tumeambiwa na mipicha yako tunayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shida wewe nakwambiaga twende PM tuishi hutakiHaya maandishi manene mod wataona ujue π
Mfyuuuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tunafanyaje Sasa my?[emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee semaa kweliiii??[emoji28]
Ni ujinga tu
Na ilikuwa nijifunze kitu maana hii tabia ni mbaya .
Unajua unaweza ukapata jambo kumbe limekuja kukufundisha vitu . Ndo hilo .
Wee uduguuu emu weka picha zangu hapa.Aiseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo nilikuwa na kazi moja iliniweka busy sana, niliingia na kutoka mara moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya selfikeni humu kutatembea ban hata kama uliweka imoj ya kucheka unapata ban[emoji16][emoji16][emoji16]
Sema wifi yako Nuzulati ni kiboko yangu.Tunakuonea huruma wewe ujue, ila huu uzi haipiti wiki haujawaka sijui kwanini. Halafu participant ni walewale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee badoo hujanishawishiiiii.[emoji23][emoji23][emoji23]Shangazi mwenyew nambembeleza ankowako hatari Sina mda wa kutafuta mpenz mpya muda hautoshi [emoji23][emoji23][emoji23]
my mbona hivyotena?Mfyuuuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Udugu unaumwa?? Leo umepiga picha hospital ujue ππππWee ndiomara yako yakwanza kusikia habari za ushoga humu???
Mi nikajua kuna mpya arrrhhhhgggg!
π΄π΄π΄π΄π΄π€π€π€π€π€π€π€π€π€!
Mrare unono wapendwaaaaa kesho nayo siku Bado napenda kuselfika mwenzenu Mshana ameupambania sana huu uzi βοΈβοΈβοΈβοΈβοΈ!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie bhanaaa natakaa unipee umbeaa ulokamilikaaa.Huko nje sawa kikinikuta navumilia tu
Hakuna la kutisha huko [emoji23][emoji23]
ππAu sio mwendo mpera mperaShida wewe nakwambiaga twende PM tuishi hutaki
ungekua zako na wewe unaparuana saiv
Sio maboya please usiwaite hivyo .ππππ Kwahiyo ulipiga sate ngapi za maboya Tin?? Mbona huu ubuyu unaubania sana
Yan siaminig kama watu wanasemezana huko PMππAu sio mwendo mpera mpera
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una enjoy kwa amani ganiii ulonayooo?Mie nishasahau haya ya humu
Nipo zangu naenjoy [emoji28][emoji28]
YOLO
Jirani niache tafwazwali πTunaendelea na mpira πππ