Selfika na JF: Snap it. Show it

Uduguu usinikaushe kizazi na moyo, kifua kimetuna ntapata pressure ya ghafla bureee.

Naombaa umwage huu ubuyuu hapa, sioni km natoboa bila kuumumunya usiku huu, fanyaa kuuweka hapaaa.

Unajua napenda umbea kuliko kulaa, nionee huruma uduguu ako, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona kumekuchaaaaa tenaaa hapaaaa, woiiiiiiih
 
Kipenzi yashaisha hayo
Mie mwenyewe mkosefu katika hili .. na sio innocent.

Mengine nishafuta kwenye ubongo na kuchoka huku ndo kabisa

let bygones be bygones .
Wee hebu tujuzee bhanaaa, yaan natamanii ufunguke mwa mwiii, nipatee ubuyuu ulokamilika.
Mnauleta mdo mdo, bas wambea tunabaki kuugulia na kiu ya kuujua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Fanyaa kuumwagaa wotee hapaaa,
 
Inshu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani nawee unapendaa ubuyu daktareee?? Mbona sitaki kuaminiiii etiii?
It's not about kupenda ubuyu.

Tatizo ni ishu ya trending. nikipost picha haitatrend coz watu wako bize na ubuyu hahaha.
 
Wee hebu tujuzee bhanaaa, yaan natamanii ufunguke mwa mwiii, nipatee ubuyuu ulokamilika.
Mnauleta mdo mdo, bas wambea tunabaki kuugulia na kiu ya kuujua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Fanyaa kuumwagaa wotee hapaaa,
Ah sitaki kufukua mambo mie
Nisije chambwa Tena 😂😂

Naishia hapo hapo tu .

Mimi niliingiwa na pepo la umbeya na limeshatoka tayari 😂😂 .
 
Ah sitaki kufukua mambo mie
Nisije chambwa Tena [emoji23][emoji23]

Naishia hapo hapo tu .

Mimi niliingiwa na pepo la umbeya na limeshatoka tayari [emoji23][emoji23] .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hapo ndo unafeliii tin, pepo la umbea linakutokaje haraka na ghaflaa hiviii??

Hebu fanya kulazimisha li rudi mara 1, litupatie wambea ile kitu roho inapendaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…