Selfika na JF: Snap it. Show it

Yani ni kuwaangalia tu kama kideo na vichwa vyao kama amira.
 
Watu hawatakuelewa hata usijichoshe ku clear air Ndiokwanza unawapa airtime ya kukuchafua na kukudhalilisha my dear huwajui vizuri nakwambia!

Tuendelee kuselfika tu nakwambia achana na kujianika Tin. Anajisemeaga Smart911 Yagangwe yajayo!
Umesema kweli kabisa dear
Yaani maji yakishamwagika hayazoeleki .

Hata ueleze vipi kama ni ilisemakana ni Iko hivyo tu you can't change people perspective kabisa .

Thanks
 
Asante sana nashukuru sana kipenzi
I appreciate your advice too .

Inatakiwa umaskini sana humu
Unaweza kutumika vibaya bila kujua .

Pia wale wanasema vibaya wenzao huko pm . Ila Jf ni πŸ”₯


πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
Hakuna ambae hasemi wenzie humu sema ogopa Ndumilakuwili anaeng'ata na kupuliza Yani mmeongea kuhusu fulani anayabeba kumpelekea kama yalivo! Kama Unakumbuka selfika kabla ya kuvamiwa tulikua peace sana angalia sasahivi utaelewa ninachoongea!

Tuendelee tutupia mamy!
Imenipita jamani naomba urudiee uubles mchana wangu pulllllllliiiiiiiiizzzzz!!
 
Ni kweli kabisa Yani ulikuwa mzuri sana . Sema ukaanzq kuvurugika taratibu .

Huyo na anaengata na kupuuliza ni mbaya sana maana ukitoka tu ni anakusema Tena wazi wazi .
 
Ni kweli kabisa Yani ulikuwa mzuri sana . Sema ukaanzq kuvurugika taratibu .

Huyo na anaengata na kupuuliza ni mbaya sana maana ukitoka tu ni anakusema Tena wazi wazi .
Ni mbaya sana yani sasa wee jichanganye ! Anayapeleka kama yalivo nakusumbua watu wapo na mambo yao huko kutaka kurudisha vitu vishaisha muda mrefu!
 
Ni mbaya sana yani sasa wee jichanganye ! Anayapeleka kama yalivo nakusumbua watu wapo na mambo yao huko kutaka kurudisha vitu vishaisha muda mrefu!
Sahihi sana
Utaita maji mma kama Mimi πŸ˜‚πŸ˜‚

Namaliza kwa yaliyopita hapo chini

I apologize kwenye hayo maneno ikiwa nilikusema pia ..

Maana nilisoma huku siku nikaona nilikuwa naonea watu wivu kwenye vocha wanazopewa . Jamani samahani sana kwa hao watu pia .

Ila Jf ukiomba msamaha hivi unaonekana weak au unajitilisha huruma jamani wakati unafanya tu vile moyo wataka .
 
Umenenepaaa sana lol shingoo iko so hooottt πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯!! Hapo ni kupitishwa ulimi tuuuuu auweeee😍😍😍😍

Nougaaa sanaa mamy!
Eeh jamani πŸ˜‚πŸ˜‚
Shingo ukinenepa na yenyewe imo πŸ˜‚

Wewe pia una shingo nzuri sana unavaaga cheni ?
 
[emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji1787]Heshima yako kaka [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] njoo pm kaka[emoji16][emoji1787]
Mkuu hiyo pic ilinistua maana huyo ni jamaa yangu aisee, umefanya niangalie na pic zingine ulizoweka hapa.
Ile umezingua, umefanya ukanjanja kwenye hili. Sio poa
 

Katika lile Mimi sina tatizo kabisa yalopita yamepita..

We want ile selfika ya amani na upendo wa agape tulokua nayo tunacheka tunafurahi masaa yanasogea kila mmoja anaenda pambana na shida zake offline!

Ndiomana sasahivi watu hata wanaogopa kuselfika Sababu ya ujinga ujinga wa wachache!

Selfikaaaa mafoto kwakwenda mbeleeee
 

Attachments

  • IMG_20240226_131915_177~2.jpg
    789.9 KB · Views: 8
Amina na uwe hivyo .
Uzi Fulani hivi uliotulia , Hauna maneno .

Yeah kwa kweli hofu imekuwa kubwa mno ..

Shukrani sana Bossledi. πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…