Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Uko vizureeee sis you are supa tall na mwili wako mzuriiiiiii black biuriiiiiii😍😍😍😍😍!
Jana nilitingwa nimepitwaaa na miblessings yakoo.. Naenda shamba one time badae nikirudi naomba zirudiwee pulllllllliiiiiiiiizzzz!!
Usijali ccy lazima nikubless
 
Uduguu nimefika japo kwa kuchelewa, nilikuwa safarini leo…
Hapa nimeweka mabegi mbio mbio nije huku nione kuna mupya gani.??
Haya lete ubuyu huo
Na kwann ukae na umbea uduguu wangu ukunyonge bureee wakati mi nipo wa kukusaidia kumumunya
nilikuita uje tuuchachuee uzi tyuuh.
 
4e0a2c9438e7a562d1ea3b6518290ee9.jpg
 
Back
Top Bottom