Sisi tulikuwa tunashikishwa sikio...ukiweza basi unazama std 1 the same day hata km hauna uniforms...
Ila sasa ukiwa ndio kimo cha wale wa kupambana chini kwa chini, halafu bichwa kubwa kubwa hivi, umri unaweza ukawa umeenda lakini sasa vimikono ndio haviwezi zungukia sikio ya the other side