Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,223
Sasa hivi umepoa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem nimechekaaa, sahivi nimeamua kutulia, ila wakati ulee, nlkua navurugana na watu, bas ntatumia pc, ntaona nachelewa kutype nahamia kwa cm had inapata motooo, narud kwa Pc .
Najionaa nimepoaa wallah, na ukubwa unachangiaaa.
ππππ Ole wako najua unachotaka kusema shweeendaaaaπ€ !Unanijua lakini huwa friji halifanyi nn vile?[emoji23]
Hivyo hivyo lamomy apate umbea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mtu mwenyewe hayupoo hapaa,
Basi yameisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ole wako najua unachotaka kusema shweeendaaaa[emoji1783]!
ππππ umbea muhimu na siachi ila napumzikaHivyo hivyo lamomy apate umbea[emoji23]
ππππ NtakuchapaBasi yameisha[emoji23]
apeleke mikungu ya ndizi huko makete kwani shingapiππππ Msaidie kaka ako mahari kakimbia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan acha tyuuuh.[emoji23][emoji23][emoji23] Ungejimix akujue uone balaa lake sasa!!
Angekuleta wima wima nakwambia na ungenangwa zaidi ya ulivyonangwa.!![emoji23][emoji23][emoji23]
Humu ni kuishi bila kujuana wakeshe wanahangaika kukutafuta, hii kujuana imeleta shida sanaaa.!! Mtu anakuchambua km ana kadi lako la clinic dadeq..!!
Hawa watu wanaojifanya wapole humu ni waongo sijapata kuona, kwanza wana idβs zao za kuchamba tofauti na walizozoeleka.!!
Wanapenda kuonekana wastaarabu kumbe wapuuzi afu tunawachora, tunawacheka hihiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aweke pesa mezaniiiiiiOyoooooooo!! Kantry umesikia??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mkanywe mbege, huku ulikoingia siko
"Mbonaa km una laana seleee, aaaah seleee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hebu niimbie kwanza wimbo wa Mbosso kidogo
Nilishaselfika mbona? Hukuwepo eeSelfika basi
Wee shem em toa pesa acha longo longo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo kumpa pesa ni sawa na kuchota maji kwenye pipa na kumwaga baharini
Namaanisha
ππππ Udugu anza nipate samaree za kuwapa ambao hawatokuwa activeYaan nikianzisha mie, Jf nzima itatikisika had jukwaa la siasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mello anaujua mziki wangu.
HahahaaaHaendi kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndoa zinatufataa wenyeweee, wala hatuziiti na hatulazimishiii, southern highlands 4 Marriage, not Courtship.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ariririiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ukipandisha kitonga ujue mikoa ya uko wote hatukalishwi uchumba sugu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyanda za juu sisi ni ndoa tyuuu!!
ππππ kabeeesaaa π€ ![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aweke pesa mezaniiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ulisikia yeye katajwa vipi? Pimbi na kijeba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Angepewa million angesema ww sio mtu ni robot kabeesaaaa
MnooooSasa hivi umepoa sana