Hongeraa kwa kujitunzaa hivyo, uko km yankiii vile.Vyovyote nitavyoandika hutaamini...
Ila mimi nafahamika sana tu na baadhi ya watu JF, kwa kuonana...
Ndo nishakalisha matako chini hapaa, na siyainuiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usitoke kabisaa
πππ Uliona wapi ndugu wa kikeni akakuchangia mahari?? Hapo ww muite ndugu yako mshamba_hachekwi akusaidie na dada yako Mamy K na Carleen ππππLeta mchango mahari mil 20
[emoji23][emoji23]hapa sitii neno, ww nasubiri pesa hiyo ya jagermeister nifanye mambo hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe tena, ndiomana ulikimbia..!!
Yani wachaga sifa zote mjini kumbe pesa hamna?!!!
Vijora pambeee viko oledee, tarumbeta na vigoma kutoka vikindu nshaandaa,Haiya iyaah kuolewa ntarudi nyumbani kutembea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Andaa vijora vya kuwakaribisha wachaga mdogo angu harusi tunayoβ¦β¦.
Usitoke mdogo angu tushuhudie manjegeka km unavyosemaga ππππNdo nishakalisha matako chini hapaa, na siyainuiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmh katika hao mamy k nna uhakika hatoi hata 100[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uliona wapi ndugu wa kikeni akakuchangia mahari?? Hapo ww muite ndugu yako mshamba_hachekwi akusaidie na dada yako Mamy K na Carleen [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oyooooooooo.!!! πππππVijora pambeee viko oledee, tarumbeta na vigoma kutoka vikindu nshaandaa,
Shughuri itamalizwa na kikundi kutoka kitunda mwana gatiii
Sherehe imepata mshereheshajiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi nikamate boda nije.Karibu
πππππ Atatoa bana wifi yangu ana mihela mumewe mfanyabiashara mkubwa.!!Mmmh katika hao mamy k nna uhakika hatoi hata 100[emoji23]
Shem em sema neno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ Nimeambiwa nisikupe pesa mpk ukamilishe mahari, wakinga hawataki Marioo kwenye ukoo wao[emoji23][emoji23]hapa sitii neno, ww nasubiri pesa hiyo ya jagermeister nifanye mambo hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mume mwenyewe tunaishi kibishiii, sasa anani nanga huko kwa wake wenzangu,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeona udugu mume umejua kumkamatia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] navaa juba na abayaa, niko Edda nimeachwaa na kunangwaa juuVaa kijora sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hongeraa kwa kujitunzaa hivyo, uko km yankiii vile.
Na uendelee kujitunza, uwe km kijana 4rever.
ππππ bora uanzishe wakae kwenye nafasi zao.!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mume mwenyewe tunaishi kibishiii, sasa anani nanga huko kwa wake wenzangu,
Cjui na mie nianzishe vuruguu, watu wapoteanee humuu.
Mie last born wa familia ya bi harusi, wee shem hujuii hili au?Leta mchango mahari mil 20
Kabisaaaa umuambie huyo shem, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uliona wapi ndugu wa kikeni akakuchangia mahari?? Hapo ww muite ndugu yako mshamba_hachekwi akusaidie na dada yako Mamy K na Carleen [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ Mwaka umeuanza vibaya udugu wangu, halafu ndo kwanza tuko Febu wohiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] navaa juba na abayaa, niko Edda nimeachwaa na kunangwaa juu
Nionee huruma, huu mwaka mbayaa uishee tyuuh.